Posts

Showing posts from January, 2018

ALOE CLEANSING AND WEIGHT MANAGEMENT

Image
​ ALOE CLEANSING PROGRAM AND WEIGHT MANAGEMENT How and Why We Gain Weight: ​It’s not just by taking in too many calories and not enough exercise although that is a big part of it. Exposure to toxins in the food we eat, the water we drink and the air we breathe means our body has to work exhaustively to eliminate toxins. ​Over time this puts a lot of strain on our organs and can lead to a breakdown in our immune systems. Why is cleansing so important? Over time the digestive system becomes sluggish working to deal with complex foods, especially processed foods,  red meat, wheat and dairy products - so many food particles remain in the stomach. The result is clogging up of the digestive system with a glue-like substance. Undigested particles can also burrow into the walls of the intestine and begin releasing gases (the cause of bloating). This makes it difficult for your body to absorb nutrients from food. Combined with stress and the over use of anti-biotics, or...

BODY CLEANSING AND WEIGHT MANAGEMENT PROGRAM

Image
​ ALOE CLEANSING PROGRAM AND WEIGHT MANAGEMENT How and Why We Gain Weight: ​It’s not just by taking in too many calories and not enough exercise although that is a big part of it. Exposure to toxins in the food we eat, the water we drink and the air we breathe means our body has to work exhaustively to eliminate toxins. ​Over time this puts a lot of strain on our organs and can lead to a breakdown in our immune systems. Why is cleansing so important? Over time the digestive system becomes sluggish working to deal with complex foods, especially processed foods,  red meat, wheat and dairy products - so many food particles remain in the stomach. The result is clogging up of the digestive system with a glue-like substance. Undigested particles can also burrow into the walls of the intestine and begin releasing gases (the cause of bloating). This makes it difficult for your body to absorb nutrients from food. Combined with stress and the over use of anti-biotics, ora...

TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO KWA MWANAMKE NA SULUHISHO LAKE.

Image
JINSI YA KUTIBU TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO  Kitaalamu linaitwa ‘Infertility’. Hili ni tatizo ambalo limekuwa kubwa sana kwasasa, tatizo hili lipo kwa mwanaume na mwanamke, lakini leo tutalitazama zaidi  kwa upande wa mwanamke.  Uchunguzi wa kutopata ujauzito kwa mwanamke hufanyika katika hospitali kwa madaktari wa akina mama. Vipimo vipo kwa mwanaume na mwanamke na vinakuwa tofauti. Tunaposema ugumba ni kwamba watu wawili mke na mume kushindwa kupata mtoto kwa zaidi ya mwaka mzima bila mafanikio. MATATIZO KWA MWANAMKE Tatizo la kutoshika mimba kwa mwanamke husababishwa na sababu mbalimbali, Sababu hizo zimegawanyika katika makundi matatu. 1: Sababu za kurithi (Genetic factor) Hii huhusisha zaidi kuwepo kwa   sababu za kurithishwa kwa tatizo hili katika familia. 2: Matumizi ya Dose au Dawa zinazozuia mimba/kutoa mimba / Dawa zinazoathiri mfumo wa uzazi kwa mwanamke. Huhusisha zaidi matumizi ya madawa mbalimbal...

UGONJWA WA BAWASIRI(HEMORRHOID)- MIWASHO,VIMBE NA MAUMIVU SEHEMU YA HAJA KUBWA.

Image
 UGONJWA WA BAWASIRI - HEMORRHOIDS MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA  Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa. Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70. Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa: Kuna aina mbili za bawasiri: Bawasiri ya Ndani: Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia .Bawasiri ya Nje:  Hii ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa.  Hutokea nje baada ya bawasiri ya ndani kujiimarisha zaidi, Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja ...