UGONJWA WA BAWASIRI(HEMORRHOID)- MIWASHO,VIMBE NA MAUMIVU SEHEMU YA HAJA KUBWA.
UGONJWA WA BAWASIRI
- HEMORRHOIDS
MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa.
Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70.
Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa:
Kuna aina mbili za bawasiri:
Bawasiri ya Ndani:
Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje
Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia
Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia
.Bawasiri ya Nje:
Hii ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa. Hutokea nje baada ya bawasiri ya ndani kujiimarisha zaidi,
Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja na hutegemea ni chanzo gani ambacho kimepelekea kuathirika na tatizo hilo.
Huambatana na Miwasho ya mara kwa mara, Maumivu katika sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia na baada ya kujisaidia
II.CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu hupelekea kutokupata choo vizuri(Haja kubwa)
Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja kama kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke.
Hali hii hupelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, Hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.
Hivyo basi kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli ya tundu la haja kubwa huendelea kuathirika zaidi k mpaka kinatokeza.
Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. Kama unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata kama kile cha mbuzi.
Bawasiri pia huweza kusababishwa na:
-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile,
- Ujauzito
- kuhara kwa mda mrefu
-Kutopata choo kwa mda mrefu
III. DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.
- Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Kitendo hiki huongeza msuguano katika mishipa ya ndani ya tundu la haja kubwa.
- Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota kama upele na huambatana na miwasho na maumivu makali.
- Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa na kutokea nje ya Tundu la haja kubwa. Hatua hii huashiria tatizo limesha kuwa kubwa na una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishowe kuathirika.
Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.
- Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana
- Kupumua na kushindwa kuzuia kinyesi wakati ukipumua(kujamba na kutoa haja kubwa)
IV. MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI
Upungufu wa damu mwilini
Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.
Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda
Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote. Yaani Mwanamke na Mwanaume.
Kuathirika kisaikolojia na hupelekea kuptojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapoanza.
Kuvuja damu, maumivu ya mda mrefu na hupelekea kushindwa kukaa.
Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara na kiuno.
V. JINSI YA KUDHIBITI TATIZO HILI LA BAWASIRI (HEMORHOIDS ) KABLA HALIJAKUPATA
Jitahidi kupata mlo kamili kila siku. Tutumia matunda na mboga za majani kwa wingi (kila mlo).Kunywa maji ya kutosha. Angalau lita 3 kwa siku.Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu
Jiepushe na vilevi
Usiwe mpenzi wavitu vya viwandaniJenga utaratibu wa kusafisha mwili wako kwakutumia Cleansing Program, ili utoe taka mwili zote, na uondoe sumu mwilini; kama vile unavyooga zaidi ya mara mbili kwa siku. (Wasiliana na si kwauhitaji wa program ya kusafisha mwili, kuondoa sumu na kupunguza mafuta mwilini)
VI. NJIA ZAKUONDOA TATIZO HILI
a. Tiba yake hospitalini Ugonjwa huu tiba yake ni opereation (kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine.
Tiba hii huwa na Changamoto ya kujirudia tena kwa hilo tatizo baada ya mda fulani hasa pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini.
Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa na kutokwa damu kwa mda mrefu hasa wakati wa kujisaidia na mara baada ya kujisaidia,
Tiba hii huondoa uvimbe pekee na haiboreshi mfumo wa chakula kuanzia ndani ambako ndo hasa chanzo cha Tatizo hili na kupelekea
baadae tatizo hili kujirudia tena.
SULUHISHO LA UGONJWA HUU NA LA KUDUMU.
Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho (mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu)
Tiba nzuri ni kuanda utaratibu wa kusafisha mfumo wako mzima wa mumeng’enyo wa chakula (Digestive System) kwa kuulisha mwili Virutubisho muhimu.
Chanzo cha magonjwa yote tunayoyapata Hasa huu wa BAWASIRI hutokana na mfumo mbovu wa mumeng’enyo wa chakula,
mzunguko wa damu (Poor Blood Circulation) na Mwili kuwa na sumu nyingi. Kila siku tunaoga zaidi ya mara mbili au mara tatu kwa siku nje ya mwili wetu, Vivyo hivyo tunapaswa kuanda utaratibu wakusafisha mili yetu ndani ya miili yetu na kuhakikisha sehemu kuu tatu za mili yetu zinafanya kazi vizuri.
Hivyo ipo Programu maalumu ambayo husaudia katika kuboresha afya kuanzia ndani na kuondoa changamoto hii ya Bawasiri ya ndani.
Programu hii husaidia katika kuondoa vimbe za ndani na kuboresha upataji wa choo laini,
Husaidia kuondoa upataji choo ngumu na uvimbe kwa upande wa ndani.
Lakini pia program hiyo ina tube maalumu za kupaka ambazo husaidia katika Kuondoa vimbe za nje ya tundu la haja kubwa.
Pia husaidia katika kuondokana na maumivu, miwasho na kulainisha na kuondoa uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa.
VII. Umuhimu wa programu hii katika kuboresha na kuimarisha afya yako.
1. Digestive System (Mfumo mzima wa mumeng’enyo wa chakula)
2. Blood Circulation (Mfumo mzima wa mzunguko wa damu)
3: Kuboresha kinga ya mwili na kuongeza virutubisho muhimu mwilini.
Programu hii hujumuisha Virutubisho vyenye Carbohydrates & Proteins, Vitamins & Mineral, Essential Fatty Acids, Trace Elements. Miili yetu huhitaji kuvipata ili uzidi kutengenza kinga ya mwili kwajili ya kuondokana na Ugonjwa huu.
Programu hii
imeandaliwa kitaalamu zaidi na hazina kemikali yenye madhara kwa mtumiaji.
BAWASIRI NI UGONJWA HATARI KAMA HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA.
Wasiliana nasi:
+255716789967
+255755928588
Email: globalremedy255@gmail.com