FAHAMU KUHUSU MWANAMKE KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE

FAHAMU AFYA YA MWANAMKE (KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI )


  Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mwili kubadilika.
 Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.

  Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa  kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe(kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.
  Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.


II. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI

Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana:

-Mifumo ya maisha wanayoishi,    --Elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu.

 Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni kama vile,

Uwepo wa sumu mwilini

Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

Umri

Kukoma kwa hedhi

Kutofanya mazoezi

Uzito mkubwa

Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

Msongo wa mawazo

Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

Upungufu wa lishe mwilini

Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

Utoaji wa mimba

Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

Ongezeko ya homoni ya testosterone (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)

NB (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

III. DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:
- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoa jasho usiku
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi

- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani.
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

- Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati
- Misuli hudondoka

IV. MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI

Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathiri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:
Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

Mimba kuharibika mara kwa mara
Kukosa mtoto au Ugumba
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kiume
UTI (Urinary Tract Infection)
Kuzeeka mapema
Kuziba kwa mirija ya uzazi
Uvimbe (Fibroids and Cysts)

V. SULUHISHO

a. Suluhisho Linalopendwa

Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa hutumia  madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake kama kawaida. Lakini hupelekea madhara kama:
- Kuongeza uwezekano ya shinikizo la damu.
- Osteoporosis.
- Madhara katika mfumo wa uzazi.
- Saratani na mengineyo.


b. SULUHISHO LA KUDUMU.

Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha.
Kwa wanawake wenye changamoto hii tume waandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Program hii ni ya vyakula; sio dawa wala miti shamba.
Inasaidia kuweka sawa homoni za mwanamke, kuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee).
 Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo:
vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo. Hivyo program hii itakusaidia katika kuboresha afya yako na kukuondolea hizo changamoto zote.

Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha Afya yake awasiliane na kampuni namba:

+255 716789967
+255755928588


Popular posts from this blog

TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE - FEMALE INFERTILITY AND HORMONE IMBALANCE

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MWANAUME.

UGONJWA WA BAWASIRI [MIWASHO/MAUMIVU NA VIMBE SEHEMU YA HAJA KUBWA]