TATIZO LA UGUMBA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA CHANGAMOTO YA UZAZI KWA MWANAUME Familia nyingi kwasasa zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na lilikuwa linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+ Lakini kwa sasa Tatizo hili linajitokeza kuanzia umri wa Miaka 25+ Tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume Limegawanyika katika makundi Matatu ambayo huhusiana kwa ukaribu sana Makundi haya ni kama yafuatayo:, - Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.Pia kuwa na shahawa nyepesi sana kama maji. - Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka.Yaani kuwahi kufika kileleni. Hapa pia tunapata aina mbili. KUWAHI KUFIKA KILELENI KABLA YA ...