Posts

Showing posts from April, 2018

VIRUTUBISHO MUHIMU KWAAJILI YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Image
Familia nyingi kwasasa zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani:   UPUNGUFU WA  NGUVU ZA KIUME Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na lilikuwa linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+ Lakini kwa sasa Tatizo hili linajitokeza kuanzia umri wa Miaka 25+   Tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume Limegawanyika katika makundi Matatu ambayo huhusiana kwa ukaribu sana Makundi haya ni kama yafuatayo:, - Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.Pia kuwa na shahawa nyepesi sana kama maji. - Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka.Yaani kuwahi kufika kileleni. Hapa pia tunapata aina mbili.   KUWAHI KUFIKA KILELENI KABLA YA TENDO LA NDOA (Pre Ejaculation) Hili hutokea pale mwanaume anafika kilel...

UGONJWA WA BAWASIRI [MIWASHO/MAUMIVU NA VIMBE SEHEMU YA HAJA KUBWA]

Image
MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA  Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa. Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70. Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa: Kuna aina mbili za bawasiri: Bawasiri ya Ndani: Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia .Bawasiri ya Nje:  Hii ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa.  Hutokea nje baada ya bawasiri ya ndani kujiimarisha zaidi, Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja na hutegemea ni chanzo gani ambacho kimepe...